Home Uncategorized CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL


DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha uwezo wake alionao.

Ceballos amesema kuwa ana imani mashabiki watapenda wenyewe namna atakavyofanya ndani ya kikosi hicho.

“Ni furaha kuwa ndani ya kikosi cha Arsenal na nina amini kwamba thamani ya jezi niliyopewa lazima niifanyie kazi kwa kuwa nakutana na kocha mwenye uwezo mkubwa,” amesema.

Jezi aliyokabidhiwa ni namba nane na iliwahi kuvaliwa pia na Mikel Arteta na Aaron Ramsey.

SOMA NA HII  SVEN WA SIMBA ANA MTIHANI MZITO MWINGINE TENA MBELE YAKE