Home Uncategorized TIMU ANAYOKWENDA OKWI ILIWAHI KUNOLEWA NA DIEGO MARADONA

TIMU ANAYOKWENDA OKWI ILIWAHI KUNOLEWA NA DIEGO MARADONA

Winga Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), imeelezwa.

Nyota huyo Mganda anakwenda kucheza katika timu hiyo ya Ligi Kuu UAE iliyowahi kufundishwa na gwiji la soka duniani, Diego Maradona.

Maradona kutoka Argentina, aliifundisha Furjairah kwa kipindi cha msimu wa 2017/18 na baada ya hapo hakuendelea.

Kwa sasa kikosi hicho kinanolewa na kocha Abdulla Maesfer raia wa UAE.


SOMA NA HII  MABOSI YANG WAFUNGUKA USAJILI WA MSUVA