Home Uncategorized WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU

WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU


KLABU ya Al Ahly ambao ni waarabu wa Misri, imepindua meza kibabe mbele ya  Simba baada ya kuweka dau la dola milioni moja zaidi ya dola bilioni mbili ambazo ili kumpata mshambuliaji wa Orlando Pirates Justin Shonga.

Kwa mujibu wa magazeti ya Misri SuperKora na Youm7, Al Ahly ipo tayari kutoa dola milioni moja kumpa kandarasi ya miaka mitatu.

Shonga mwenye umri wa miaka 22 amefunga mabao 16 na ametoa assist 16 kwenye mechi 66 tangu atue klabuni hapo.


Dau hilo limeifanya Simba kupiga hesabu ningine kwa ajili ya kujipanga upya kutunisha msuli wa mkwanja.

SOMA NA HII  ZRANE YUPO TAYARI KURITHI MIKOBA YA ROBERTINHO SIMBA