Home Uncategorized WATAU WAPIGWA STOP YANGA MAZIMA

WATAU WAPIGWA STOP YANGA MAZIMA


INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuwasimamisha nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwa kushindwa kuripoti kambini.

 Andrew Vincent ‘Dante’, Juma Abdul na Kelvin Yondani ni wachezaji wa Yanga ambao hawajajiunga na timu kambini Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Habari zinaeleza kuwa wachezaji hao wanadai stahiki zao jambo ambalo limewakwamisha kufika kambini huku wao wakieleza kuwa sabaabu kubwa ni matatizo ya kifamilia. 

SOMA NA HII  YANGA YAPATA KIBOKO YA MO DEWJI