Home Uncategorized SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT WAKITWANGWA...

SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT WAKITWANGWA 3-1

Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.

Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na mamia ya mashabiki wakijitokeza kwenye uwanja huo.

SOMA NA HII  Alichokisema Amunike leo.