Home Uncategorized AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA RUVU SHOOTING

AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA RUVU SHOOTING

MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Azam FC na Ruvu Shooting umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.

Mpaka dakika tisini zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mpinzani na kufanya ubao wa matokeo kusoma Azam FC 0 sawa na Ruvu Shooting.

Mchezo huu umechezwa Uwanja wa Chamazi.

SOMA NA HII  VPL:RUVU SHOOTING 0-1 YANGA