Home Uncategorized LAMPARD KWENYE KIBARUA KINGINE LEO LIGI KUU ENGLAND

LAMPARD KWENYE KIBARUA KINGINE LEO LIGI KUU ENGLAND


KIKOSI cha Chelsea leo kitacheza mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu England dhidi ya Leicester City.

Mchezo huu utakuwa ni wa kwanza kuwa nyumbani baada ya ule wa kwanza kupoteza ugenini kwa kufungwa mabao 4-0 mbele ya Manchester United.

Frank Lampard, Meneja wa Chelsea amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa.

Mchezo huu utachezwa uwanja wa Stamford Bridge.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC