Home Uncategorized LIIVE!! TOWNSHIP ROLLERS 0-0 YANGA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

LIIVE!! TOWNSHIP ROLLERS 0-0 YANGA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Dak ya 8, Yanga wanapata kona ya kwanza, inapigwa lakini inashindwa kuzaa matunda
Dak ya 7, Paul Boxer anarusha mpira kuelekea lango la wapinzani
Dak ya 4, kosakosa imetokea katika lango la Township, Yanga wanakosa nafasi ya kupachika bao
Dak ya 2, mechi imeshaanza huko Botswana kati ya Yanga na Township Rollers

SOMA NA HII  JUNI 17 KINAWAKA ENGLAND, SAMATTA MZIGONI