Home Uncategorized NYOTA SITA WA YANGA HAWA HAPA HATIHATI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS LEO

NYOTA SITA WA YANGA HAWA HAPA HATIHATI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS LEO


LEO Yanga ipo kazini uwanja wa Taifa kumenyana na Township Rollers mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa.

Kwenye mchezo wa leo nyota wake sita watakosekana ambao ni pamoja na mlinda mlango Farouk Shikalo, Moustafa Seleman ambao wamechelewa kupata leseni.

David Molinga, mwili jumba yeye amechelewa kwenye usajili wa Caf.

Pia kuna hatihati ya kuwakosa mabeki wao watatu visiki ambao ni:

Juma Abdul

Kelvin Yondani

Andrew Vincent 

SOMA NA HII  OKWI, NIYONZIMA CHUPUCHUPU SIMBA