Home Uncategorized TANZANITE KUISHUSHIA KICHAPO ZAMBIA

TANZANITE KUISHUSHIA KICHAPO ZAMBIA


BAKARI Shime Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ amesema kuwa leo waapambana kupata matokeo chanya mbele ya timu ya Taifa ya Zambia.

Tanzanite imefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya kushinda mechi zake mbili za awali.

 “Tulianza kupata ushindi mbele ya Botswaa kabla ya kumalizia na Eswatin na leo tunacheza na timu ya Zambia tupo tayari kwa ushindani na tuna imani tutafaanya vizuri,” amesema.

SOMA NA HII  AZAM FC KWENYE MTIHANI LEO KUISHUSHA YANGA KILELENI