Home Uncategorized BABA DIAMOND AFUNGUKA HARMONIZE KUSEPA ZAKE WCB

BABA DIAMOND AFUNGUKA HARMONIZE KUSEPA ZAKE WCB


BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii Harmonize kuondoka kwenye Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na mwanaye huyo Diamond.

Akipiga story na moja ya Televisheni ya mtandaoni nchini, Baba Diamond amesema kuwa; ” Harmonize alianza kuonyesha dalili toka mwanzo za kuondoka WCB baada ya kuanza kufanya shoo binafsi nchi za nje, kitu kilichomfanya ajione ana jina kubwa kuweza kusimama mwenyewe. ”

SOMA NA HII  BAADA YA KUTEMBEZA KICHAPO CHA MABAO 7-0, LIVERPOOL NAFASI YA KWANZA MPAKA CHRISTMAS