Home Uncategorized FERGUSON AMPA BONGE LA MTIHANI MENEJA WA ARSENAL

FERGUSON AMPA BONGE LA MTIHANI MENEJA WA ARSENAL



SIR Alex Ferguson, Kocha mstaafu wa timu ya Manchester United amempa kazi ngumu Kocha wa Arsenal, Unai Emery.

Ferguson amesema Emery ana kazi ya kufanya anavyoweza kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya badala ya kujisifu kuwa amewahi kubeba ubingwa wa Europa League.

Emery alishinda taji la Europa mara tatu akiwa na Sevilla Kati ya mwaka 2014 hadi 16.

Emery ndiye amefichua Siri hiyo kwa kusema kuwa walikutana na Ferguson kwenye mkutano wa makocha nchini Switzerland.

SOMA NA HII  PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL