Home Uncategorized MAGORI AACHIA NGAZI RASMI SIMBA, CEO MPYA KUTOKA AFRIKA KUSINI ATANGAZWA

MAGORI AACHIA NGAZI RASMI SIMBA, CEO MPYA KUTOKA AFRIKA KUSINI ATANGAZWA


Ifisa Mtendaji mpya Simba, Senzo Mazingisa, ametambulishwa leo jijini Dar es Salaam na Crescentius Magori anayemaliza muda wake.

Baada ya utambulisho huo, Magori amesema Mazingisa ataanza kazi rasmi Jumatatu ya wiki ijayo ambapo yeye atakuwa mstaafu.

Magori ameachia rasmi ngazi kufuatia muda wake kumalizika ambapo alipewa nafasi hiyo huku mchakato wa kumtafuta atakayekuwa nafasi hiyo kukamilika.

“Kuanzia wiki ijayo nitakuwa CEO mstaafu. Nawashukuru sana kwa ushirikiano mlionipa.

Nawashukuru sana Wanasimba. Kwa tuliokwazana niwaombe radhi ilikuwa sababu ya kazi yangu,” amesema Magori.

SOMA NA HII  HIKI HAPA KINACHOMBEBA PAUL NONGA WA LIPULI

1 COMMENT

  1. You could certainly see your expertise in the
    work you write. The sector hopes for even more passionate writers
    such as you who aren’t afraid to mention how they believe.
    At all times follow your heart.

    My web page Bonus New Member