Home Uncategorized MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA

MECHI YA SIMBA NA MTIBWA YAPANGULIWA, RATIBA MPYA YATAJWA


Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13, 2019 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

SOMA NA HII  AZAM FC YATHIBITISHA KUACHANA NA CHECHE NA MAGANGA, YAWATAKIA KILA LA KHERI