Home Uncategorized KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI – VIDEO

KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI – VIDEO


YANGA bhana! Kama mlivyosikia kwani imeshindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Azam FC baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jana huku mvua iliyonyesha ikitibua baadhi ya mipango ya kocha.
SOMA NA HII  MOLINGA AACHWA BONGO,HIKI HAPA AMESEMA