Home Uncategorized LIVE UPDATES NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: AZAM FC 0-0 SIMBA

LIVE UPDATES NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: AZAM FC 0-0 SIMBA




Dakika ya 17 Kapombe,Kagere, anapeleka ndani hakuna mchezaji wa Simba
Dakika ya 16 Kapombe anajaza majalo ndani yanatolewa na Wadada inakuwa kona ya tatu kwa Simba inapigwa na Ajibu inaokolewa na mabeki wa Azam
Dakika ya 15 Abarola anaanzisha mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 14 Kahata anacheza faulo kwa mchezaji wa Azam FC
Dakika ya 13 Kakolanya, Shiboub, Nyoni, Kapombe, Dilunga, inatolewa na Yakub inakuwa kona ya pili kwa Simba inapigwa na Ajibu haizai matunda
Dakika ya 12 Simba wanapiga kona ya kwanza na Ajibu haizai matunda
Dakika ya 11 Wadada anacheza faulo inapigwa na Ajibu dakika ya 12 nje kidogo ya 18
Dakika ya 11 Kahata anchezewa rafu
Dakika ya 10, Dilunga, Kapombe, Mkude, anatanguliza mbele Kahata anachonga pasi matata Simba wanakosa nafasi ya kwanza ya wazi
Dakika ya 9 Shiboub anachezewa rafu, Kapombe anaanzisha safari kwa Azam FC, Ajibu anapiga shuti linagomewa na Abarola 
Dakika ya 7 Dilunga anafanya jaribio la kwanza kwa Simba mpira unagonga mwamba.

Mchezo wa pili wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi, Visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan

SOMA NA HII  SIMBA YAINGIA KWENYE MTIHANI MZITO WA BIASHARA BONGO