Home Uncategorized MO ATOA TAMKO LINGINE JIPYA NDANI YA SIMBA BAADA YA KUPOTEZA KOMBE...

MO ATOA TAMKO LINGINE JIPYA NDANI YA SIMBA BAADA YA KUPOTEZA KOMBE LA MAPINDUZI

BAADA ya jana kupitia ukurasa wake wa kijamii kuandika kwamba anaondoka kwenye nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba kutokana na timu hiyo kupoteza mchezo wa fainali kwa kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar leo Mo amekuja na maamuzi haya kwamba ilikuwa bahati mbaya ilitokea kwenye akaunti yake 

SOMA NA HII  HAPA NDIPO YANGA ILIPOIPOTEZA SIMBA JUMLAJUMLA