Home Uncategorized POLISI TANZANIA YAMDAKA KIPA WA SIMBA, YAMPA MWAKA MMOJA

POLISI TANZANIA YAMDAKA KIPA WA SIMBA, YAMPA MWAKA MMOJA


MANYIKA Peter Manyika ambaye ni mlinda mlango amekamilisha dili lake la kujiunga na Polisi Tanzania kwenye usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa kesho, Januari 15, saa sita usiku.

Manyika amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo ya Polisi Tanzania iliyo chini ya Malale Hamsini.

Kabla ya kujiunga na Polisi Tanzania, Manyika alikuwa anakipiga ndani ya klabu ya KCB ya Kenya pia aliwahi kuichezea timu ya Simba na Singida United alipokuwa Bongo.

SOMA NA HII  BAADA YA KUZINGUA, SABABU ZA CHIRWA KURUDISHA MAJESHI AZAM FC HIZI HAPA...