Home Uncategorized MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA

MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA

Habari za Michezo leo

Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.

Msuva ameshinda tuzo hiyo kwenye hafla iliyofanyika usiku wa jana.

“Nimechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 ndani ya klabu yangu ya Difaa El Jadida si ligi. (tuzo zinazoandaliwa na klabu) mimi ndiye nimeshinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu,” amesema Msuva.
SOMA NA HII  KCCA WAAMBIWA NA AZAM FC DAWA YAO ISHAPATIKANA KESHO WANAKALISHWA