Home Uncategorized SIMBA KUTUA BONGO LEO NA POINTI ZAKE SITA ZA KANDA YA ZIWA

SIMBA KUTUA BONGO LEO NA POINTI ZAKE SITA ZA KANDA YA ZIWA


KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck leo kinatarajia kurudi Bongo kikitoe Mwanza baada ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu.

Mechi ya kwanza kwa Simba ilikuwa dhidi ya Mbao FC ilishinda mabao 2-1 na kwenye mchezo wa pili dhidi ya Alliance ilishinda mabao 4-1 mechi zote zilichezwa Uwanja wa CCM Kirumba.

Ushindi huo unaipa pointi sita kwa kadna ya ziwa na kujikita kileleni ikiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 16.

SOMA NA HII  KOCHA SIMBA KUIFUATA GWAMBINA FC KWA TAHADHARI