Home Uncategorized SIMBA: TUNALITAKA KOMBE LA MAPINDUZI

SIMBA: TUNALITAKA KOMBE LA MAPINDUZI


PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa leo watapmabana mbele ya Mtibwa Sugar kulitwaa kombe la Mapinduzi.

Simba ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 mbele ya Azam FC baada ya dakika tisini kutoshana nguvu.

“Tunawaheshimu wapinzani wtu, ila kwetu sisi maandalizi yetu ni kwenye kila mechi tunahitaji kupata ushindi, mchezo utakuwa mgumu nasi tupo tayari kupambana ili kutwaa kombe,” amesema.

Mchezo wa fainali kati ya Mtibwa Sugar na Simba utachezwa leo saa 2:15 usikuwa uwanja wa Amaan.

SOMA NA HII  AZIZ KI AFUNGUKA WALIPOWASHIKA SIMBA