Home Uncategorized WAWILI WATWAA TUZO NDANI YA ALLIANCE

WAWILI WATWAA TUZO NDANI YA ALLIANCE

UONGOZI wa Alliance umendelea kutoa tuzo kwa wachezaji wao ambapo jana ilitoa tuzo kwa wachezaji wawili waliofanya vizuri mwezi Novemba na Desemba.

Wachezaji hao wawili ambao  jana walikuwa sehemu ya kikosi kilichopoteza mbele ya Simba kwa kufungwa mabao 4-1 ni pamoja na Geofrey Luseke na David Richard.

Luseke ametwaa tuzo ya mchezaji bora mwezi Novemba huku Richard akitwaa ya mwezi Desemba. 

Sababu za uongozi wa Alliance kufanya hiyo ni kuongeza morali ya wachezaji kufanya vizuri kwenye mechi zao zote za Ligi Kuu Bara.

SOMA NA HII  LUKAKU ANAONDOKA ZAKE MAN UNITED

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here