Home Uncategorized AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA

AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA


KLABU ya Azam FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuchelewa kutoka uwanjani hata Kamishna alipowaita walikaidi amri ya kutoka vyumbani na golikipa wa timu hiyo kuchelewa zaidi na alipofika uwanjani kushindwa kuwapa mikono timu pinzani (Coastal Union).

 Kwenye mchezo huo uliofanyika Februari 15, 2020 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Azam ilifungwa mabao 2-1.

Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 14(43) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

SOMA NA HII  ISHU YA LIGI KUSIMAMISHWA SIMBA WAIGUSIA, WAICHOKONOA KIANIA KLABU NYINGINE