Home Uncategorized BALAA JINGINE LA LIONEL MESSI NDANI YA LA LIGA HILI HAPA

BALAA JINGINE LA LIONEL MESSI NDANI YA LA LIGA HILI HAPA

LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona ameweka rekodi yake msimu huu ndani ya La Liga.

Nyota huyo ambaye inaelezwa kuwa mpango wake wa kutimkia Manchester City umezimwa na mabosi wake ndiye anaongoza kwa kupiga chenga nyingi ndani ya La Liga.

Amepiga jumla ya chenga 128 ambazo ni nyingi kuliko mchezaji yoyote ndani ya La Liga.

Timu yake ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa imejikusanyia jumla ya pointi 49 kinara ni Real Madrid mwenye pointi 52 wote wamecheza mechi 23.

SOMA NA HII  CRISTIANO RONALDO ATUMA SALAMU ZA CHRISTMAS