Home Uncategorized HESABU ZA MZUNGU WA SIMBA KWA LIPULI LEO HIZI HAPA

HESABU ZA MZUNGU WA SIMBA KWA LIPULI LEO HIZI HAPA

  • SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupambana na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Samora ,Iringa dhidi ya Lipuli.

  • leo Februari 15, Simba itakaribishwa na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 10:00.

  • Sven amesema:-“Kila mchezaji yupo tayari kwa mchezo wa leo na tumejipanga kufanya vizuri kutokana na maandalizi ambayo tumeyafanya.

  • “Lazima tucheze kila mchezo kutokana na hali ambayo tutakutana na mchezo kwa kutafuta ushindi ambao utatufanya tupate ponti tatu muhimu,” amesema.

  • Simba ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 53 baada ya kucheza mechi 21.
    SOMA NA HII  ISHU YA NDEMLA KWENDA YANGA: KOCHA SVEN AMALIZA UBISHI