Home Uncategorized JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE

JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE


FEBRUARI, Mosi,2020 ni siku ambayo Mungu alimpa zawadi ya maisha mapya ndani ya Dunia na ardhi ya Tanzania ndipo alipoanzia kuhesabu Baraka zake.

Leo ni siku nyingine nzuri yenye baraka kwa Saleh jembe ambaye anafurahia Ukuu wa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kumpa afya njema na kumuepusha na mabalaa.

Kwa msomaji hakuna cha kukukwambia zaidi ya shukrani kwa kuwa tumekuwa pamoja tukishirikiana mengi ya maisha na hasa michezo, nafurahi kuwa nawe kama rafiki na ninafurahi KUZALIWA leo kwa Mungu ndiye ALIYEPANGA.

HERI YA KUZALIWA Saleh Ally JEMBE

SOMA NA HII  Kandanda.co.tz ipo pamoja na Taifa Stars