Home Uncategorized YANGA YAITWANGA MTIBWA 1-0

YANGA YAITWANGA MTIBWA 1-0


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Ushindi huo umepatikana kupitia bao pekee lililofungwa na David Molinga mnamo dakika ya 51 likiwekwa kambani na David Molinga.

Yanga imelipiza kisasi dhidi ya Mtibwa ikiwa na kumbukumbu ya kutolewa kunako Mapinduzi CUP kwa mikwaju ya penati.

SOMA NA HII  PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA