Home Uncategorized SABABU YA MUDA WA MCHEZO WA LEO KUBADILISHWA HII HAPA

SABABU YA MUDA WA MCHEZO WA LEO KUBADILISHWA HII HAPA

UONGOZI wa Yang

a umesema kuwa sababu kubwa ya muda wa mpira kubadilishwa mara kwa mara ni kutokana na timu ya Taifa ya Uganda kutaka kuutumia Uwanja wa Taifa kwa mazoezi.


Akizungumza na Saleh jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga Atonio Nugaz amesema kuwa timu ya Uganda ya wanawake ilikuwa inahitaji kupata muda wa mazoezi.

“Timu ya Taifa ya Uganda ilikuwa inahitaji kupata muda wa kufanya mazoezi jambo ambalo lilichangia muda wa mpira kubadilika mara kwa mara,” amesema.

Yanga itamenyana na Alliance Uwanja wa Taifa saa 1:00 jioni awali ulipangwa ucheze saa 10 na baadaye ulipelkwa mbele saa 11.
SOMA NA HII  KLOPP HAELEWI CHA KUFANYA KUHUSU NAFASI YA ULINZI