Home Uncategorized TWIGA STARS YASHIKA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA UNAF

TWIGA STARS YASHIKA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA UNAF

TIMU ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imekamata nafasi ya pili kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika Kaskazini (UNAF) yaliyokamilika jana nchini Tunisia.

 Mabingwa wa mashindano hayo ambayo yalihusisha mataifa matano ikiwa ni pamoja na Morocco, Mauritania, Algeria na wenyeji Tunisia ni nchi ya Morocco.

Michezo na matokeo ya Twiga Stars katika mashindano hayo yapo namna hii:-Tanzania (7-0) Mauritania
Algeria (2 -3) Tanzania
Tanzania (2-3) Morocco
Tunisia (1-1) Tanzania

SOMA NA HII  AGGREY MORRIS AMPA KIBURI HIKI KOCHA AZAM