Home Uncategorized VPL: MTIBWA 0-0 SIMBA

VPL: MTIBWA 0-0 SIMBA



Mtibwa Sugar 0-0 Simba


Kipindi cha kwanza

Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

MTIBWA Sugar leo wameikaribisha Simba Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Simba iliyo chini ya Sven Vandenbroeck inapambana leo ikiwa na maumivu ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 na JKT Tanzania sawa na Mtibwa Sugar iliyopoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Lipuli.

Mashabiki waliojitokeza ni wengi kushuhudia mchezo wa leo ambao ni wa kisasi kwa timu zote mbili.
SOMA NA HII  BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2019/20 ATAPATIKANA KWA MTINDO HUU