Home Uncategorized VPL:YANGA 0-0 MBEYA CITY

VPL:YANGA 0-0 MBEYA CITY


Kipindi cha kwanza:Yanga 0-0 Mbeya City

Uwanja wa Taifa

Ligi Kuu Bara

Yanga leo imeikaribisha Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Taifa.

Yanga inakumbukumbu ya kushinda bao 1-0 mbele ya Ruvu Shooting na Mbeya City ilishinda bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kutoa sapoti kwa timu zao.

SOMA NA HII  YANGA KUONGEZA MASHINE MPYA NNE ZA KAZI KWA AJILI YA MTIBWA SUGAR