Home Uncategorized GADIEL MICHAEL: KUNA USHINDANI MKUBWA WA NAMBA SIMBA

GADIEL MICHAEL: KUNA USHINDANI MKUBWA WA NAMBA SIMBA


GADIEL Michael, beki wa kushoto wa Simba amesema kuwa kuna ushindani mkubwa ndani ya kikosi cha Simba jambo linalomfanya afanye mazoezi kwa juhudi.

Kwa sasa Ligi Kuu Bara Imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya Serikali kupiga marufuku mijumuiko isiyo ya lazima.

Gadiel amesema:-“Kuna ushindani mkubwa sana katika kikosi chetu kwa hiyo unatakiwa kuwa fiti muda wote ili ukipewa nafasi ya kucheza usimwangushe mwalimu,” .

Tangu Sven ametua Bongo kuifundisha Simba, Gadiel amekuwa akikosa namba ndani ya kikosi cha kwanza na badala yake amekuwa akicheza Mohamed Hussein,’Tshabalala’.

SOMA NA HII  JIMMY KINDOKI AIPONDA VIKALI SIMBA 'HAWAOGI, YANGA INAIFUNGA UINGEREZA' - VIDEO