Home Uncategorized ISHU YA NYOTA SITA WA YANGA KUGOMEA MECHI YA NAMUNGO IPO NAMNA...

ISHU YA NYOTA SITA WA YANGA KUGOMEA MECHI YA NAMUNGO IPO NAMNA HII

YANGA wakati inalazimisha sare ya kufungana bao 1-1 ilikosa huduma ya wachezaji wake sita wa kikosi cha kwanza huku taarifa zikieleza kuwa wamegoma ndani ya klabu hiyo.

Uongozi wa Yanga umesema kuwa hakuna suala hilo ila kuna sababu maalumu ambazo zimewakumba wachezaji wao.

Wachezaji hao ambao walikosekana kwenye mchezo wa jana uliopigwa Machi 15 Uwanja wa Majaliwa ni pamoja na Haruna Niyonzima, Kelvin Yondani, Lamine Moro, Mohamed Issa ‘Mo Banka’, Adeyum Saleh na David Molinga.

Sababu za nyota hao kuukosa mchezo wa jana zipo namna hii:- Haruna Niyonzima alikuwa na kadi tatu za njano.

 Kelvin Yondani alipewa ruhusa ya Mwalimu kwasababu za kifamilia,David Molinga ambaye yeye aliomba ruhusa kutokana na Mkewe kuwa mgonjwa.

 Lamine Moro, Mohamed Issa (Mo Banka) na Adeyum Saleh. 

SOMA NA HII  ISHU YA SALAH KUMZINGUA MANE NI PASUA KICHWA NDANI YA LIVERPOOL, BOSI AICHA MIKONONI MWA WACHEZAJI