Home Uncategorized WAWILI SASA WAONDOLEWA NDANI YA AZAM FC

WAWILI SASA WAONDOLEWA NDANI YA AZAM FC


IDD Cheche aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Azam FC ameondolewa kwenye benchi hilo la ufundi na kumuacha Kocha Mkuu Arstica Cioaba.

Cheche ameondolewa kwenye benchi la ufundi baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Cheche anaongozana na Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga ambaye naye ameondolewa kwenye nafasi hiyo.

Azam FC Marchi 4 itamenyana na Simba Uwanja wa Taifa mechi inayotarajiwa kuchezwa majira saa 1:00 usiku.

SOMA NA HII  HII SASA NDO INAITWA SIMBA NA MKATABA WA BALEKE....... NI UMAFIA TU