Home Uncategorized KUONA MIUJUZI YA MORRISON NA LUIS NI BUKU SABA TU

KUONA MIUJUZI YA MORRISON NA LUIS NI BUKU SABA TU

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi unaotarajiwa kucheza Machi 8, 2020 Uwanja wa Taifa Shirikisho la Soka la Mpira Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mechi hiyo kama ifuatavyo:-

VIP A, 30,000
VIP B, 15,000
Viti vya rangi ya Machungwa 10,000
Viti vya bluu na kijani 7000


Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku nyota wapya kama Bernard Morrison wa Yanga na Luis Misqussone wa Simba wakitarajiwa kuingia kwenye dabi hiyo kwa mara ya kwanza.

SOMA NA HII  MTIBWA SUGAR WAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA USHINDANI