Home Uncategorized SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA LIGI

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA LIGI


RAIS wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona katika vituo vilivyotengwa imepungua sana, hivyo anaangalia wiki inayoanza kesho, kama hali itaendelea kuwa hivi hivi, ataamua kufungua vyuo na kuruhusu michezo iendelee.

JPM amesema kuwa michezo ni sehemu ya burudani kwa Watanzania.

Magufuli, amezungumza haya mchana huu, kutokea kanisa la KKKT, ushirika wa Chato, Mkoani Geita,Mwanza.

Machi 17,2020 Serikali ilizuia mikusanyiko isiyo ya lazima kutokana na janga la Virusi vya Corona. 

SOMA NA HII  NYOTA WA STARS ANASHINDA NDANI NCHINI MISRI KISA KORONA