Home Uncategorized MANCHESTER UNITED KUMKOSA BAILLY KWA MUDA WA MIEZI MITANO

MANCHESTER UNITED KUMKOSA BAILLY KWA MUDA WA MIEZI MITANO

OLE Gunnars Solskajer, Meneja wa Manchester United amethibitisha kuwa beki wake kisiki Erick Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne mpaka mitano.

Bailly alipata majeraha hayo kwenye mchezo wa kirafiki wa michuano ya ICC dhidi ya Totthenham wiki iliyopita wakati United ikishinda kwa mabao 2-1.

Nyota huyo mwenye miaka 25 atakuwa chini ya uangalizi wa madaktari mpaka pale atakaporejea kwenye ubora wake.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS