Home Uncategorized JIPATIE NAKALA YAKO YA BETIKA BURE KABISA

JIPATIE NAKALA YAKO YA BETIKA BURE KABISA



Gazeti la BETIKA lipo mtaani Jumatano hii, hili ni gazeti la bure yaani haliuzwi, fika popote kwa muuzaji wa magazeti utajipatia nakala yako bila malipo.

Ndani ya Betika kuna elimu kuhusu janga la Corona, jinsi ya kujikinga wakati huu ambapo dunia inapambana na virusi hivyo.

Kuna habari, makala za m
ichezo na burudani bila kusahau takwimu za michezo mbalimbali pamoja na dondoo za kubeti ambazo zitakusaidia ubeti na ujishindie mamilioni ya fedha.

Pia kuna ofa maalum ya PUNGUZO LA BEI kwa watangazaji wote kutokana na janga la Corona, kwa chochote wasiliana nasi kwa namba 0755-826488 au 0712-595636 au betika255@gmail.com au fika Sinza Mori, jengo la Global Group jijini Dar.

Kwa wanaotangaza ndani ya Gazeti la BETIKA wanapata ofa za kutangaziwa BURE kupitia Global TV Online, +255 Global Radio, magazeti ya Global Publishers na kurasa zetu zote za kijamii (Instagram, Facebook na Twitter).
SOMA NA HII  KIUNGO MPYA SIMBA AKOMBA MILIONI 138