Home Uncategorized KIUNGO WA BIASHARA UNITED AINGIA ANGA ZA KARIAKOO NAMNA HII

KIUNGO WA BIASHARA UNITED AINGIA ANGA ZA KARIAKOO NAMNA HII


KIUNGO machachari ndani ya Klabu ya Biashara United, Novatus Dismas inaelezwa kuwa ameingia kwenye rada za timu tatu Bongo ambazo zinaiwinda saini yake.

Lipuli ya Iringa, Yanga ya Daryenye maskani yake mitaa ya Kariakoo pamoja na Kagera Sugar ya Bukoba inaelezwa kuwa zipo kwenye hesabu za kumpata nyota huyo.

Dismas ndani ya Biashara United amekuwa na mchango mkubwa ambapo mpaka sasa ametupia mabao mawili.

SOMA NA HII  MWANARIADHA AJUNGA NA KLABU YA SOKA