Home kimataifa MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI

MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI


MANCHESTER United wamethibitisha kukamilisha dili la beki Raphael Varane ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Real Madrid.

Timu hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo mpaka ilipofanikiwa kukamilisha dili la beki huyo raia wa Ufaransa.

Taarifa rasmi kutoka Manchester United imeeleza:”Manchester United inafurahi kutangaza kwamba imefikia makubaliano mazuri katika suala la usajili na mchezaji wa Real Madrid ambaye ni beki wa timu ya taifa ya Ufaransa na mshindi wa taji la Kombe la Dunia, Raphael Varane,”.

SOMA NA HII  RONALDO : ROONEY ANAWIVU ...NIMEMZIDI MPAKA MUONEKANO...