Home Uncategorized MORRISON BALAA LAKE LILIKUWA NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU BARA

MORRISON BALAA LAKE LILIKUWA NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU BARA



KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ametumia uwanjani jumla ya dakika 852 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kuonyesha balaa lake.

Kabla ya ligi kusimamishwa alicheza mechi 10 ambazo ni sawa na dakika 900 huku akitumia dakika 48 kusugua benchi kutokana na kufanyiwa mabadiliko katika mechi alizocheza.

 Amefunga jumla ya mabao matatu na kutoa pasi tatu na kuhusika kwenye jumla ya mabaos sita kati 31 ndani ya ligi. 

Ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 284.
SOMA NA HII  MIQUISSONE MDOGO MDOGO KAMA HATAKI