Home Uncategorized NYOTA HUYU WA MARSEILLE NI BALAA KWA MIPASI YA MWISHO

NYOTA HUYU WA MARSEILLE NI BALAA KWA MIPASI YA MWISHO


DIMITRI Payet, staa anayekipiga ndani ya Klabu ya Marseille ni balaa kwenye kutengeneza pasi za mwisho.
 Tangu msimu wa 2007/08 Payet amekuwa noma ndani ya Ligue1 kutokana na rekodi zake za asisti.
 Winga huyu ndani ya Ligue 1 amezichezea klabu tofauti na kwa wakati tofauti na kutengeneza rekodi yake ya tofauti.
 Alianza Nantes, kisha Saint Etienne, Lille na sasa anakipiga katika klabu ya Marseille akiwa ndani ya Ligue 1 amekuwa na mchango mkubwa ndani ya timu.
 Kwa muda wote ambao amecheza Ligue 1  mpaka sasa yeye ndiyo kinara wa asisti ndani ya ligi akiwa ametoa asisti 82. 
SOMA NA HII  GSM NA YANGA WAMEFIKIA HAPA KWA SASA, UONGOZI WAFUNGUKA