Home Uncategorized CR 7 KARANTINI YAMUHUSU

CR 7 KARANTINI YAMUHUSU


NYOTA anayekipiga ndani ya Juventus, Cristiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.

Ronaldo alikuwa kwao Ureno kwa mapumziko baada ya ligi hiyo kusimama kutokana na uwepo wa corona, mapema wiki hii alirejea Italia na kupelekwa karantini kwa siku 14.

Wiki hii, Juventus walianza mazoezi chini ya uangalizi maalum ili kujiepusha na maambukizi ya corona.

Baadhi ya mastaa walioonekana wakianza mazoezi ni Giorgio Chiellini, Aaron Ramsey na Leonardo Bonu-cci.
SOMA NA HII  SIMBA KUNYOOSHA NYUMBANI / YANGA MWALIMU AJIPANGE, KMC NAWAKUBALI " PONDAMALI" - VIDEO