Home Uncategorized HIKI HAPA KIKOSI MATATA CHA NYOTA ALIWEKWA KWENYE RADA ZA YANGA

HIKI HAPA KIKOSI MATATA CHA NYOTA ALIWEKWA KWENYE RADA ZA YANGA


HILI hapa kosi lake la kwanza mshambuliaji wa Namungo, Relliants Lusajo ambaye inaelezwa kuwa amewekwa kwenye rada za mabosi wake wa zamani Yanga:- Juma Kaseja atakaa langoni.

Nicolas Wadada anayekipiga Azam FC yeye atakuwa beki wa kulia.

David Luhende wa Kagera Sugar yeye ni beki wa kushoto.

Erasto Nyoni wa Simba yeye ni beki wa kati.

Kevin Yondani wa Yanga yeye beki wa kati.

Frank Domayo huyo pichani anakipiga Azam FC atakuwa kiungo mkabaji.

Idd Kipwagile anakipiga Azam FC yeye atakuwa winga.

Clatous Chama anakipiga zake Simba atakuwa kiungo wa kati.

Meddie Kagere anakipiga Simba atakuwa mshambuliaji.


John Bocco anàkipiga Simba atakuwa mshambuliaji.


Bernard Morrison winga anayekipiga Yanga atakuwa ndani ya kikosi pia.

SOMA NA HII  KOSI KAZI LA NYOTA WA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA LIPO NAMNA HII