Home Uncategorized HILI HAPA KOSI MATATA LA YANGA LITAKAVYOKUWA

HILI HAPA KOSI MATATA LA YANGA LITAKAVYOKUWA

HESABU za Yanga iwapo zitakubali kuwapa nyota wale ambao inaelezwa kuwa wapo kwenye mpango wa kusajili msimu ujao basi hili jeshi la Yanga litakuwa namna hii;-

 Metacha Mnata

Juma Abdul

Mussa Mohamed kutoka Nkana FC


Lamine Moro

Yassin Mustapha wa Polisi Tanzania


Bernard Morrison


Ally Niyonzima kutoka Rayon Sport 

Haruna Niyonzima


Tuisila Kisinda


Michael Sarpong

Heritier Makambo anakipiga Horoya AC

SOMA NA HII  KOCHA MKUU WA BARCELONA AKALIA KUTI KAVU