Home Uncategorized HUYU NDIYE LACAZETTE KAMA LACAZETTE

HUYU NDIYE LACAZETTE KAMA LACAZETTE


ALEXANDRE Lacazette nyota wa Arsenal aliletwa duniani Mei 28, 1991 ametimiza miaka 29 juzi Mei 28.

Jezi yake mgongoni ni namba 9, alijiunga na Klabu hiyo 2017 akitokea Lyon alikocheza mechi 203 na alifunga mabao 100.

Tangu msimu wa 2017 mpaka sasa ndani ya Arsenal amekuwa na ushkaji mkubwa na nahodha wake Aubameyang, amecheza mechi 87 na kufunga mabao 34.


Timu yake ipo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 28.

SOMA NA HII  SIMBA YAPANIA KUMCHOMOA BEKI MMOJA POLISI TANZANIA