ROBERT Lewandowski, anayekipiga ndani ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuliaji mahiri duniani kwa sasa kwa kujenga ushkaji mkubwa na nyavu.
Nyota huyo amevunja rekodi kibao mfulululizo baada ya yeye mwenyewe kuziweka ndani ya uwanja katika mechi za Bundeslinga.
Alifunga mfululizo kwenye mechi 11 jambo ambalo ni nadra kutokea kwa washambuliaji ambapo safari yake ya kutupia ilianza Agosti 16 hadi Novemba 9,2019 ndani ya muda huo alitupia mabao 16.
Mechi yake ya mwisho kusitisha rekodi hiyo ilikuwa mbele ya Dusseldorf ambapo timu yake ilichapwa mabao 4-0.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.