Home Uncategorized MAJEMBE HAYA SITA YA KAZI YANAPIGIWA HESABU SIMBA

MAJEMBE HAYA SITA YA KAZI YANAPIGIWA HESABU SIMBA


KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck kinapiga hesbu kubwa za kuboresha safu yake ya ulinzi ikipiga hesabu kupata saini za majembe sita.

Kwa sasa safu yao ni miongoni mwa safu matata kwenye ligi kwani ikiwa imecheza mechi 28 imeruhusu mabao 15 hivyo inataka kuongeza ulinzi zaidi msimu ujao.

Miongoni mwa mabeki wanaotajwa kuwaniwa na Simba  ni Bakari Mwamnyeto na pacha wake Ame wa Coastal Union, Yakubu Mohammed anayekipiga Azam FC, Mike Kibwage anayecheza KCB ya Kenya, Dikson Job na Kibwana Shomari.

Beki wa kati Pascal Wawa, mwili jumba amesema kuwa iwapo wataletwa wachezaji wapya ni jambo jema kwani huwezi kuzuia timu kufanya usajili.

SOMA NA HII  SIO POA SIMBA NA MBINU CHAFU ZA WYDAD.....UONGOZI WATIA NENO