Home Uncategorized MWILI WA MWALUSAKA,MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA YA...

MWILI WA MWALUSAKA,MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WAAGWA LEO


MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Klabu ya Yanga, mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, marehemu Lawrence Mwalusako, umeagwa leo nyumbani kwake maeneo ya Ubungo Kibo.

Mwalusako alitangulia mbele za haki Mei 25 alipokuwa akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili.

Baada ya kuagwa mwili utaelekea Kyela jijini Mbeya ambapo maziko yatafanyika.

SOMA NA HII  POGBA AKIRI KUPITIA MAISHA MAGUMU NDANI YA MANCHESTER UNITED