Home Uncategorized HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA YANGA NDANI YA LIGI KUU BARA, RATIBA...

HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA YANGA NDANI YA LIGI KUU BARA, RATIBA YAKE


KLABU ya Yanga ina mechi 11 kibindoni ambazo imebakiza ili kuamliza mzunguko wa pili wa 2019/20.

Juni 13 ligi inarejea rasmi baada ya kusimamishwa na Serikali kutokana na kuibuka kwa janga la Virusi vya Corona.

Hivi hapa vigongo vyake:-

Juni 13, Mwadui v Yanga

Juni 17, JKT Tanzania v Yanga

Juni 21, Yanga v Azam FC

Juni 24, Yanga v Namungo

Julai 21, Yanga v Ndanda

Julai 5, Biashara United v Yanga

Julai 9, Kagera Sugar v Yanga

Julai 15, Yanga v Singida United

Julai 18, Yanga v Mwadui FC

Julai 22, Mtibwa Sugar v Yanga

Julai 26, Lipuli v Yanga

SOMA NA HII  MAURIZIO SARRI HATIHATI KUIKOSA PARMA JUMAMOSI, HALI YAKE SIO NJEMA